Add parallel Print Page Options

Inamaanisha heshima kwenu mnaoamini, bali kwa wasioamini,

“jiwe walilolikataa wajenzi
    limekuwa jiwe la muhimu kuliko yote.”(A)

Na,

“jiwe linalowafanya watu wajikwae
    na mwamba unaowafanya watu waanguke.”(B)

Walijikwaa kwa sababu hawakuutii ujumbe wa Mungu, na Mungu alisema hilo litatokea wasipotii.

Lakini ninyi ni watu mlioteuliwa, ni Ukuhani unaomtumikia Mfalme. Ninyi ni taifa takatifu nanyi ni watu wa Mungu. Yeye aliwaita Ili muweze kutangaza matendo yake yenye nguvu. Naye aliwaita mtoke gizani na mwingie katika nuru yake ya ajabu.

Read full chapter