Font Size
1 Timotheo 5:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 5:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Na kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kuivunja ahadi yao ya mwanzo. 13 Isitoshe, wajane kama hao wana tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba. Tena hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo wasiyopaswa kusema.
4 Kwa hiyo napenda wajane vijana waolewe, wazae watoto na watunze nyumba zao, ili yule adui asipate nafasi ya kusema uovu juu yetu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica