Font Size
1 Timotheo 5:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 5:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki katika dhambi za mtu mwingine, jiweke katika hali ya usafi.
23 Usiendelee kunywa maji tu bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.
24 Dhambi za watu wengine ni dhahiri nazo zinatangulia huku muni mbele yao. Lakini dhambi za watu wengine huonekana baadaye.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica