Font Size
1 Timotheo 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Pigana ile vita njema ya imani. Shikilia uzima wa milele ulioitiwa ulipokiri lile ungamo lako jema mbele ya mashahidi wengi.
13 Mbele ya Mungu ambaye amevipa vitu vyote uhai, na mbele ya Kristo Yesu ambaye kwa ushuhuda wake mbele ya Pontio Pilato alikiri lile ungamo jema, 14 ninakuamuru utunze amri hii bila doa wala lawama mpaka Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica