Font Size
1 Timotheo 6:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 ninakuamuru utunze amri hii bila doa wala lawama mpaka Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja. 15 Jambo hili Mungu atalitimiza kwa wakati wake mwenyewe, Mungu Mbarikiwa ambaye peke yake ndiye Atawalaye, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana. 16 Yeye peke yake ndiye asiyekufa, na ndiye aishiye katika nuru isiyoweza kukaribiwa; hakuna mwanadamu ali yepata kumwona wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica