Add parallel Print Page Options

Upendo Hutoka kwa Mungu

Wapenzi rafiki, tunatakiwa tupendane sisi kwa sisi, kwa sababu upendo watoka kwa Mungu. Yeyote apendae amefanyika mwana wa Mungu. Na kila apendae anamfahamu Mungu. Kila asiyependa hamfahamu Mungu, kwa sababu Mungu ni Pendo. Hivi ndivyo Mungu alivyo tuonyesha pendo lake sisi: Alimtuma mwanawe wa pekee ulimwenguni kutupatia sisi uzima katika yeye.

Read full chapter