Font Size
1 Yohana 5:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Yohana 5:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Imani Ndani Ya Kristo
5 Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo, ni mtoto wa Mungu; na kila ampendaye mzazi wa mtoto, humpenda pia na mtoto wa mzazi huyo. 2 Na hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: tukimpenda Mungu na kuzitii amri zake. 3 Kwa maana kumpenda Mungu ni kuzitii amri zake. Na amri zake hazitule mei.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica