Font Size
1 Yohana 5:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
1 Yohana 5:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Matendo yote yasiyo ya haki ni dhambi na kuna dhambi isiyompeleka mtu kwenye kifo.
18 Tunafahamu kuwa kila aliyezaliwa na Mungu haendelei kutenda dhambi; kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda na yule mwovu hawezi kumgusa. 19 Tunajua kuwa sisi ni wa Mungu na kwamba ulim wengu wote unatawaliwa na yule mwovu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica