Add parallel Print Page Options

17 Daima kutenda yasiyo haki ni dhambi. Lakini ipo dhambi isiyomwongoza mtu katika mauti ya milele.

18 Tunajua kwamba wale waliofanyika watoto wa Mungu hawaendelei kutenda dhambi. Mwana wa Mungu anawahifadhi salama.[a] Yule Mwovu hawezi kuwagusa. 19 Tunajua kwamba sisi ni wa Mungu, Lakini yule Mwovu anautawala ulimwengu wote.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:18 Mwana … salama Kwa maana ya kawaida, “Yeye aliye aliyezaliwa kutokana na Mungu hutunzwa” au “anajitunza”.