Font Size
1 Yohana 5:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Yohana 5:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 kwa sababu kila ambae ni mwana wa Mungu ana uwezo wa kushinda dhidi ya ulimwengu. Ni imani yetu iliyoshinda vita dhidi ya ulimwengu. 5 Hivyo ni nani anayeushinda ulimwengu? Ni wale tu wanaoamini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.
Mungu alituambia kwa Habari ya Mwanae
6 Yesu Kristo ndiye aliyekuja. Alikuja kwa maji na damu.[a] Hakuja kwa maji peke yake. Lahasha, Yesu alikuja kwa vyote maji na damu. Na Roho atuambia kuwa hili ni kweli. Roho ndiye Kweli.
Read full chapterFootnotes
- 5:6 maji na damu Inaweza kumaanisha Maji ya ubatizo wa Yesu Kristo, na damu aliyo imwaga pale msalabani.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International