Font Size
1 Yohana 5:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Yohana 5:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mungu alituambia kwa Habari ya Mwanae
6 Yesu Kristo ndiye aliyekuja. Alikuja kwa maji na damu.[a] Hakuja kwa maji peke yake. Lahasha, Yesu alikuja kwa vyote maji na damu. Na Roho atuambia kuwa hili ni kweli. Roho ndiye Kweli. 7 Kwa hiyo kuna mashahidi watatu wanao tuambia habari za Yesu: 8 Roho, Maji, na Damu. Mashuhuda hawa watatu wanakubaliana.
Read full chapterFootnotes
- 5:6 maji na damu Inaweza kumaanisha Maji ya ubatizo wa Yesu Kristo, na damu aliyo imwaga pale msalabani.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International