Font Size
2 Yohana 11-12
Neno: Bibilia Takatifu
2 Yohana 11-12
Neno: Bibilia Takatifu
11 Kwa maana mtu anayemsalimu anashiriki kazi zake za uovu.
12 Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sipendi kutumia kara tasi na wino. Badala yake ninatarajia kuwatembelea na kuongea nanyi uso kwa uso, ili furaha yetu ikamilike.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica