Font Size
2 Yohana 7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Yohana 7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Walimu wengi wa uongo wamo duniani sasa. Wana kataa kusema Yesu ni Masihi aliyekuja duniani na kufanyika mwanadamu. Kila anayekataa kuikubali kweli hii ni mwalimu wa uongo na adui wa Kristo. 8 Muwe waangalifu! Msiipoteze thawabu tuliyokwisha[a] kuitendea kazi. Mhakikishe mnaipokea thawabu kamili.
9 Kila mmoja aendelee kuyashika mafundisho aliyefundishwa juu Kristo tu. Yeyote atakayeyabadili mafundisho hayo hana Mungu. Kila anayeendelea kuyafuata mafundisho ya Kristo[b] anao wote Baba na Mwanaye.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International