Font Size
Luka 10:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 10:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
10 Baada ya hayo, Yesu akawachagua wafuasi wengine sabini na wawili akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda. 2 Akawaambia, “Mavuno ni mengi lakini wafanya kazi ni wachache, kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno awapeleke wavunaji zaidi katika shamba lake. 3 Haya, nendeni. Ninawatuma kama kondoo kati ya mbwa mwitu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica