Font Size
Luka 10:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 10:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Kaeni katika nyumba inayopenda amani. Kuleni na kunywa chochote watakachowapa kwa maana mfanyakazi anastahili ujira. Msihame kutoka katika nyumba hiyo na kwenda kukaa katika nyumba nyingine.
8 Mkiingia katika mji wowote na watu wakawakaribisha, kuleni vyakula watakavyowapa. 9 Waponyeni wagonjwa wanaoishi katika mji huo, na waambieni Ufalme wa Mungu umewafikia![a]
Read full chapterFootnotes
- 10:9 umewafikia Au “unakuja kwenu haraka” au “umewafikia”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International