Add parallel Print Page Options

Utusamehe dhambi zetu,
    kama tunavyomsamehe kila mtu anayetukosea.
Na usiruhusu tukajaribiwa.’”

Mwombeni Mungu Kile Mnachohitaji

(Mt 7:7-11)

5-6 Kisha Yesu akawaambia, “Chukulia mmoja wenu angekwenda kwa rafiki yake usiku na kumwambia, ‘Rafiki yangu aliyekuja mjini amekuja kunitembelea. Lakini sina chakula cha kumpa ili ale. Tafadhali nipe mikate mitatu.’ Read full chapter