Font Size
Luka 12:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. 3 Mnachokisema sirini kitasemwa mbele za watu. Na mliyonong'onezana katika vyumba vyenu, yatahubiriwa sehemu za wazi ambako kila mtu atasikia.”
Mwogopeni Mungu, Siyo Watu
(Mt 10:28-31)
4 Kisha Yesu akawaambia watu, “Ninawaambia ninyi, rafiki zangu, msiwaogope watu. Wanaweza kuua mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya chochote cha kuwaumiza.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International