Font Size
Luka 12:20-22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:20-22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
20 Lakini Mungu akamwambia yule mtu, ‘Ewe mpumbavu! Leo usiku utakufa. Sasa vipi kuhusu vitu ulivyojiandalia? Nani atavichukua vitu hivyo?’
21 Hivi ndivyo itakavyokuwa kwa mtu anayeweka vitu kwa ajili yake yeye peke yake. Mtu wa namna hiyo si tajiri kwa Mungu.”
Utangulizeni Kwanza Ufalme wa Mungu
(Mt 6:25-34,19-21)
22 Yesu akawaambia wafuasi wake, “Hivyo ninawaambia, msisumbuke juu ya vitu mnavyohitaji kwa ajili ya kuishi, mtakula nini au mtavaa nini.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International