Font Size
Luka 12:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Ikiwa Mungu huyav isha hivi majani ambayo leo yapo shambani na kesho yanachomwa moto; ataachaje kuwavisha ninyi hata zaidi? Mbona mna imani ndogo! 29 Wala msihangaike mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. 30 Watu wasiomjua Mungu huhan gaika sana juu ya vitu hivi. Lakini Baba yenu wa mbinguni anajua kuwa mnavihitaji.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica