Font Size
Luka 12:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi. 5 Lakini nitawaambia nani wa kumwogopa: mwogopeni yule ambaye baada ya kumwua mtu ana mamlaka ya kumtupa motoni. Naam: huyo, mwogopeni! 6 Mnajua kwamba mbayuwayu watano huuzwa kwa bei ndogo sana. Lakini Mungu anamjali kila mmoja wao.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica