Font Size
Luka 12:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Lakini nitawaambia nani wa kumwogopa: mwogopeni yule ambaye baada ya kumwua mtu ana mamlaka ya kumtupa motoni. Naam: huyo, mwogopeni! 6 Mnajua kwamba mbayuwayu watano huuzwa kwa bei ndogo sana. Lakini Mungu anamjali kila mmoja wao. 7 Mungu anafahamu hata idadi ya nywele zilizoko katika vichwa vyenu. Kwa hiyo msiogope: ninyi mna thamani zaidi kuliko mbayuwayu wengi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica