Font Size
Luka 16:21-23
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 16:21-23
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
21 Lazaro alitaka tu kula masalia ya vyakula vilivyokuwa sakafuni vilivyodondoka kutoka mezani kwa tajiri. Na mbwa walikuja na kulamba vidonda vyake.
22 Baadaye Lazaro alikufa. Malaika walimchukua na kumweka kifuani pa Ibrahimu. Tajiri naye alikufa na kuzikwa. 23 Alichukuliwa mpaka mahali pa mauti[a] na akawa katika maumivu makuu. Alimwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro akiwa kifuani pake.
Read full chapterFootnotes
- 16:23 mahali pa mauti Kwa maana ya kawaida, “Kuzimu”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International