Add parallel Print Page Options

30 Hivi ndivyo itakavyokuwa siku ambayo Mwana wa Adamu atarudi.

31 Siku hiyo, ikiwa mtu atakuwa juu ya paa ya nyumba yake, hatakuwa na muda wa kushuka kwenda ndani ya nyumba kuchukua vitu vyake. Ikiwa atakuwa shambani, hataweza kurudi nyumbani. 32 Kumbukeni yaliyompata mke wa Lutu![a]

Read full chapter

Footnotes

  1. 17:32 mke wa Lutu Simulizi kuhusu mke wa Lutu inapatikana katika Mwa 19:15-17,26.