Font Size
Luka 17:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 17:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
31 “Siku hiyo, mtu akiwa darini na vitu vyake vikiwa ndani, asiteremke kuvichukua. Hali kadhalika atakayekuwa shambani asi rudi nyumbani kuchukua cho chote. 32 Kumbukeni yaliyompata mke wa Lutu! 33 Mtu ye yote anayejaribu kusalimisha maisha yake atayapoteza; na ye yote atakayekuwa tayari kuyapoteza maisha yake atayaokoa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica