Font Size
Luka 18:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 18:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Kwa muda mrefu yule hakimu hakufanya lo lote. Lakini hatimaye akasema moyoni mwake, ‘Simwogopi Mungu wala simjali mtu 5 lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbua na kesi yake, nitamwamulia haki asije akanichosha kwa kuja kwake mara kwa mara.”’ 6 Bwana akasema, “Mnasikia asemavyo huyu hakimu dhalimu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica