Add parallel Print Page Options

39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika kundi wakamwambia Yesu, “Mwalimu, waambie wafuasi wako wasiseme mambo haya!”

40 Lakini Yesu akawajibu, “Ninawaambia ikiwa wafuasi wangu wasingesema, mawe haya yangesema kwa kupaza sauti!”

Yesu Aulilia Mji wa Yerusalemu

41 Yesu alipoukaribia mji wa Yerusalemu, akautazama kisha akaanza kuulilia,

Read full chapter