Yesu Anaulilia Mji Wa Yerusalemu

41 Alipokaribia Yerusalemu, akauona mji, aliulilia,

42 akasema, “Laiti ungalijua leo jinsi ya kupata amani! Lakini sasa huoni! 43 Kuna siku ambapo maadui zako watakuzungushia ukuta na kukuzingira na kukushambulia kutoka kila upande.

Read full chapter