Font Size
Luka 19:43-45
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 19:43-45
Neno: Bibilia Takatifu
43 Kuna siku ambapo maadui zako watakuzungushia ukuta na kukuzingira na kukushambulia kutoka kila upande. 44 Watakutupa chini wewe na wanao ndani ya kuta zako na hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine. Hii ni kwa sababu hukutaka kutambua wakati
Yesu Aingia Hekaluni
45 Ndipo akaingia Hekaluni akaanza kuwafukuza wale wal iokuwa wakifanya biashara humo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica