Font Size
Luka 2:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 2:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Kwa maana leo katika mji wa Bethlehemu, amezaliwa Mwokozi ambaye ndiye Kristo Bwana. 12 Na hivi ndivyo mtakavyomtambua: mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa vinguo na kulazwa horini.”
13 Mara jeshi kubwa la malaika wa mbinguni likatokea na pamoja wakamsifu Mungu wakiimba:
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica