Font Size
Luka 20:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 20:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Yesu akawajibu, “Nami nitawauliza swali pia. Niambieni: 4 Yohana alipobatiza watu, mamlaka yake ilitoka kwa Mungu au kwa watu fulani?”
5 Makuhani, walimu wa sheria na viongozi wa Kiyahudi wakajadiliana kwa pamoja kuhusu hili. Wakasema, “Kama tukijibu ‘Ubatizo wa Yohana ulitoka kwa Mungu,’ atasema, ‘Sasa kwa nini hamkumwamini Yohana?’
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International