Add parallel Print Page Options

49 Wafuasi wa Yesu walikuwa wamesimama pale pia. Walipoona kilichokuwa kinatokea, wakamwambia Yesu, “Bwana, tutumie panga zetu?” 50 Na mmoja wao akautumia upanga wake. Akakata sikio la kulia la mtumishi wa kuhani mkuu.

51 Yesu akasema, “Acha!” Kisha akaligusa sikio la mtumishi na akamponya.

Read full chapter