Font Size
Luka 22:58-60
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:58-60
Neno: Bibilia Takatifu
58 Baadaye kidogo mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe pia ni mmoja wao.” Petro akajibu, “Bwana, mimi si mmoja wao!” 59 Baada ya muda wa kama saa moja hivi, mtu mwingine akasisitiza, “Kwa hakika huyu mtu alikuwa na Yesu, kwa maana yeye pia ni Mgalilaya.” 60 Petro akajibu, “Mimi sijui unalosema!” Na wakati huo huo, akiwa bado anazun gumza, jogoo akawika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica