Font Size
Luka 22:61-63
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:61-63
Neno: Bibilia Takatifu
61 Yesu akageuka akamtazama Petro. Ndipo Petro akakumbuka yale maneno ambayo Bwana alimwambia, “Kabla jogoo hajawika leo, utanikana mara tatu.” 62 Akaenda nje, akalia kwa uchungu . Yesu Achekwa Na Kupigwa
63 Watu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica