Font Size
Luka 22:61-63
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 22:61-63
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
61 Bwana aligeuka akamtazama Petro kwenye macho yake. Kisha Petro akakumbuka Bwana alivyokuwa amesema ya kwamba, “Kabla ya jogoo kuwika asubuhi, utakuwa umenikana mara tatu.” 62 Kisha Petro akatoka nje na kulia kwa uchungu.
Walinzi Wamdhalilisha Yesu
(Mt 26:67-68; Mk 14:65)
63 Walinzi waliokuwa wanamlinda Yesu walimfanyia mizaha na kumpiga.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International