62 Akaenda nje, akalia kwa uchungu . Yesu Achekwa Na Kupigwa

63 Watu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga. 64 Wakamfunga kitambaa usoni kisha wakasema, “Hebu nabii tuambie! Ni nani amekupiga?”

Read full chapter