Font Size
Luka 22:62-64
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 22:62-64
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
62 Kisha Petro akatoka nje na kulia kwa uchungu.
Walinzi Wamdhalilisha Yesu
(Mt 26:67-68; Mk 14:65)
63 Walinzi waliokuwa wanamlinda Yesu walimfanyia mizaha na kumpiga. 64 Wakayafunika macho yake ili asiwaone. Kisha wakampiga na wakasema, “Tabiri, tuambie nani amekupiga!”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International