Font Size
Luka 22:70-71
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:70-71
Neno: Bibilia Takatifu
70 Wote wakasema, “Ndio kusema wewe ndiye Mwana wa Mungu?” Akawajibu, “Ninyi ndio mmesema kwamba Mimi ndiye.” 71 Kisha wakasema, “Kwa nini tutafute ushahidi zaidi? Sisi wenyewe tumesikia maneno aliy osema.” Yesu Apelekwa Kwa Pilato
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica