23 Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumem wona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo, mfalme.”

Read full chapter