Font Size
Luka 8:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 8:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Bwana Yesu Atuliza Dhoruba
22 Siku moja Yesu alipanda mashua na wanafunzi wake akawaam bia, “Twendeni ng’ambo ya pili ya ziwa.” Kwa hiyo wakaanza kuvuka. 3 Walipokuwa wakivuka, akalala usingizi. Upepo mkali ukawa unavuma na mashua yao ikaanza kujaa maji; wakawa katika hatari ya kuzama.
24 Wale wanafunzi wakamkimbilia Yesu wakamwamsha wakisema, “Bwana, Bwana, tunazama!” Ndipo akaamka akaukemea ule upepo na yale mawimbi vikakoma, pakawa shwari.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica