Font Size
Luka 8:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 8:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Watu wengi walimiminika kutoka katika kila mji na umati mkubwa ulipokusanyika, Yesu akawaambia mfano huu: 5 “Mkulima mmoja alikwenda shambani kwake kupanda mbegu. Alipokuwa akitawa nya mbegu, nyingine zilianguka njiani zikakanyagwa kanyagwa; na ndege wakazila. 6 Na mbegu nyingine zilianguka penye miamba na zilipomea zikakauka kwa kukosa unyevu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica