Font Size
Luka 8:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 8:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Mbegu zingine ziliangukia kwenye miiba. Miiba ikakua pamoja nazo, miiba ikazisongasonga na hazikukua. 8 Zilizosalia ziliangukia kwenye udongo mzuri wenye rutuba. Mbegu hizi zikaota na kuzaa kila moja mia.”
Yesu akamalizia fumbo. Kisha akapaza sauti, akasema, “Ninyi watu mnaonisikia, sikilizeni!”
9 Wafuasi wake wakamwuliza, “Fumbo hili linamaanisha nini?”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International