Font Size
Marko 13:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 13:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Na kama Bwana hakuufupisha muda huo wa dhiki, hakuna mtu ambaye angesalimika; lakini kwa ajili ya watu wake aliowachagua, ameufupisha muda huo.
21 “Na wakati huo mtu akiwaambia, ‘Tazama, Kristo huyu hapa’ au , ‘Tazama, yule pale,’ msiamini. 22 Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watafanya ishara na miujiza ili kuwadanganya hata wale waliochaguliwa na Mungu, kama ikiwezekana.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica