Font Size
Marko 13:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 13:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
30 Ninawaambieni ukweli: Kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya yote hayajatokea. 31 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
32 Hakuna anayejua wakiwemo malaika wa mbinguni ama Mwana bali baba peke yake lini siku au saa ile itakapowadia.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International