Font Size
Marko 14:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Wakaambiana, “Jambo hili tusilifanye wakati wa sikukuu maana watu wanaweza kufanya ghasia.”
Yesu Apakwa Manukato
3 Yesu alikuwa Bethania nyumbani kwa Simoni ambaye aliwahi kuwa na ukoma. Alipokuwa mezani akila chakula cha jioni, mwanamke mmoja aliingia ndani akiwa na chupa ya alabasta yenye manukato ya nardo safi ya thamani kubwa. Akaivunja hiyo chupa, akammiminia Yesu manukato hayo kichwani. 4 Baadhi ya watu waliokuwapo wali chukia wakasema, “Kwa nini anapoteza bure manukato hayo?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica