Font Size
Marko 14:25-27
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:25-27
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
25 Ninawaambia kweli sitakunywa diva tena mpaka siku ile nitakapokunywa divai mpya katika Ufalme wa Mungu.”
26 Na wao wakaimba mwimbo wa sifa na kutoka na kuelekea kwenye Mlima wa Miti ya Mizeituni.
Yesu Asema Wafuasi Wake Watamwacha
(Mt 26:31-35; Lk 22:31-34; Yh 13:36-38)
27 Yesu akawaambia, “Nyote mtaniacha, kwani imeandikwa,
‘Nitamuua mchungaji,
na kondoo watatawanyika.’(A)
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International