Font Size
Marko 14:38-40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:38-40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
38 Kaeni macho na kuomba, ili msije mkaingia majaribuni. Roho inataka lakini mwili ni dhaifu.”
39 Yesu akaondoka kwenda kuomba tena, akilisema jambo lile lile. 40 Kisha akarudi tena na kuwakuta wamelala, kwani macho yao yalikuwa yamechoka. Wao hawakujua la kusema kwake.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International