Font Size
Marko 14:42-44
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:42-44
Neno: Bibilia Takatifu
42 Amkeni twendeni, tazameni, yule ambaye amenisaliti amekaribia.”
Yesu Akamatwa
43 Yesu alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale wanafunzi kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waandishi, na wazee. 44 Yuda, yule msaliti, alikuwa amewapa ishara wale watu kuwa, “Yule nitakayembusu, ndiye mnayemtaka, mkamateni na kumchukua akiwa chini ya ulinzi.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica