Font Size
Marko 14:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Si afadhali yangeliuzwa kwa dinari zaidi ya mia tatu na fedha hizo wakapewa maskini?” Wakamkemea huyo mama kwa hasira. 6 Lakini Yesu akawaambia, “Kwa nini mnamnyanyasa? Mwacheni! Amenitendea jambo zuri na jema. 7 Maskini mnao wakati wote na mnaweza kuwapa tia msaada wakati wo wote mtakapo. Lakini hamtakuwa nami wakati wote.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica