Font Size
Marko 14:50-52
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:50-52
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
50 Wafuasi wake wote walimwacha na kumkimbia.
51 Miongoni mwa watu waliomfuata Yesu alikuwa kijana mmoja aliyevaa kipande cha nguo. Watu walipotaka kumkamata 52 alikiacha kile kipande cha nguo mikononi mwao na kukimbia akiwa uchi.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International