Font Size
Marko 4:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Mbegu zilizoanguka njiani ni sawa na watu ambao husikia neno la Mungu na shetani akaja mara moja na kulichukua lile neno lililopandwa ndani yao. 16 Hali kadhalika, mbegu iliyoanguka kwenye mwamba ni sawa na watu ambao hulisikia neno na kulipokea kwa furaha. 17 Lakini kwa kuwa neno halipenyi ndani, linadumu kwa muda mfupi. Taabu au mateso yanapotokea kwa ajili ya hilo neno, wao hupoteza imani yao.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica